Rais wa Baraza la Ulaya António Costa alifichua pendekezo jipya la matumizi ambalo linapunguza kwa Euro bilioni 204 mpango uliowekwa awali na Tume ya Ulaya.